Katika sherehe hiyo mamia ya wanavyuo walihudhuria katika hayo mahafali ya kumi na sita(16) ya na kubadilishwa kwa jina kutoka Chuo kikuu cha Tumaini mpaka Chuo kikuu cha Iringa.Pia mgeni rasmi katika sherehe hiyo ailikua Mh.Prof.Kaslau ambae ni Mwanamama wa kwanza Tanzania kushinda tuzo ya Nobel kwenye masuala ya afya.

Hao ni bahadhi ya wahitimu wa Chuo kikuu cha Iringa zamani kama Chuo kikuu cha Iringa kitivo cha FASS(Faculty of Arts and Social Science).
Mr.Nduye(Admission Officer of Iringa University) akiongea na mmoja wa wazazi wa wahitimu.
(Chrispin Nyomoe ni mmoja kati ya wahitimu wa Shahada ya Uandishi wa habari)


0 maoni:
Post a Comment