
'NILIPANGA KUMNG'OA MENO WEMA'...RADO AFUNGUKA BAADA KUGOMBANA NA WEMA VIBAYA. SOMA HAPA
STAA wa sinema za Kibongo, Simon Mwakipagata ‘Rado’ amefunguka kuwa Wema
Sepetu ‘Madam’ aliponea chupuchupu kwani ilibaki kidogo amng’oe meno.
*Wema Sepetu ‘Madam’.*
Akizungumza na Stori, hivi karibu baada ya kukumbushiwa tukio hilo
lililotokea hivi karibuni katika ofisi za Wema zilizopo Mwananyamala jijini
Dar kupitia kipindi cha mlimbwende huyo cha In My Shoes, Rado alifafanua:
“Nilimlipa Wema afanye filamu yangu na kabla haijaisha yeye akaenda kutoa
nywele na kila kitu bila kuniambia jambo ambalo halitakiwi kwenye filamu
ndiyo maana nilifanya vile na siku ile ningemtoa meno,


0 maoni:
Post a Comment