Swala la Muuguzi wa kike Eva Carneiro na kocha Josee Morinho wa chelsea limeingia katika sura mpya kufuatia shirikisho la mpira duniani FIFA kuingilia kati swala hilo.
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa kamati ya Afya wa shirikisho la soka la dunia Fifa Michel D'Hooghe amesema huu ni wakati mgumu ambao unawakumba wauguzi wengi kwenye timu zao hivo kama kamati ya afya kwenye shirikisho watalijadili swala hilo kwenye kikao chake cha september 11 mwaka huu.
Pia D'Hooghe amesema lengo la kikao hicho ni kumaliza mzozo pamoja na kutetea haki za wauguzi wengine kwenye timu zao.

(Mwenyekiti kamati ya afya FIFA Michel D'Hooghe)
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph
0 maoni:
Post a Comment