Maandalizi ya Hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete iliyoandaliwa na chama cha waandishi wa habari za michezo Nchini Taswa yameshakamilika na inataerajiwa kufanyika jumatatu ya oktobar 12 jijini darves salaam
Akizungumza jijini DSM Mwenyekiti wa Taswa Juma Pinto amesema kuwa tmaandalizi ya mwisho ya hafla hiyo yameshakamilika ikiwemo kuongezeka kwa mdhamini mwingine wa kampuni ya Azam Media ambao wametoa kiasi cha shilingi shilingi Millioni 10 kwa ajili uyakufanikisha sherehe hiyo.
Pinto ameongeza kuwa chama hicho hakina budi kumuaga Rais Kikwete kutokana na mchango wake katika kinua na kuendeleza sekta ya michezo nchini tanzania katika kipindi cha miaka 10 ya uongozi.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment