Klabu ya soka ya Simba ya jijini Dar es salaam inatarajia kuelekea mkoani mbeya mwishoi wa juma hili kwa ajili ya michezo yake miwili ya ligi kuu soka Tanzania bara itakapocheza dhidi ya Mbeya city pamoja na Tanzania Prissons za jijini humo.
Akizungumza na chaneli ten kuhusiana maandalizi ya timu hiyo Makamu mwenyekiti wa Simba Kaboul amesema klabu hiyo baada ya kuondoka na wa alama 6 kwenye michezo yake iliyocheza jijini Tanga sasa klabu hiyo inaelekeza nguvu zake katika michezo unayofuata mkoani mbeya.
Kabulu ameongeza kuwa uongozi wa simba kupitia rais wake wa Evans Aveva wanaimani na mwenendo wa timu hiyo kupitia kocha wake muingereza Dyren Kerr

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment