KUIONA MECHI YA STARS VS MALAWI SHILINGI 5,000


Shirikisho la mpira  wa miguu Tanzania Tff limetangaza vingilio kuelekea mpambano wa timu ya taifa ya Tanzania dhidi ya timu ya taifa ya Malawi utakaopigwa oktobar 7 mwaka huu katika uwanja wa taifa uliopo Jijini Dsm 

Kwenye Mtanange huo ambapo kingilio cha juu kitakuwa ni shilingi 10,000 kwa Vip B na C huku kingilio cha chini kwa viti vya orange na kijani kikiwa ni shilingi 5000.

Kwa mujibu wa afisa habari wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Tff Baraka Kizuguto vingilio hivo vimelenga kutoa nafasi kwa wapenzi wa soka nchini kujitokeza kuiunga mkono timu hiyo ya taifa,

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment