MMH...! MORINHO KILA SIKU WEWE TU.? ASHITAKIWA TENA NA #FA

 
Kocha wa mabingwa watetezi w ligi kuu soka uingereza Chelsea The Blues Jose Mourinho ameshitakiwa na chama cha soka nchini Uingereza FA kwa utovu wa nidhamu   wakati wa mechi yao dhidi ya southmpton ambapo kikosi hicho kilipokea kichapo cha goli 3-1

Morinho anatuhumiwa kwa kutoa maneno yaliyolenga kukejeli na na kuwakashifu maafisa  wa shirikisho la soka la nchi hiyo FA kuhusika kwenye kichapo cha timu hiyo ilipokea kwenye dfimba lao a stamford Bridge dhidi ya Southampton siku ya jumamosi.

FA imedai kwamba maoni yaliyotolwa na kocha huyo yaliashiria kulikua na upendeleo kwa upande fulani ambapo kocha huyo alimlalamikia mwamuzi Robert Madley kwa kuwakatalia Chelsea penalti na kusema kuwa maofisa hao hawakutaka chelsea iibuke na ushindi huku akipewa siku mbili kujibu shitaka hilo.

Kwa kufungwa na Southampton klabu hiyo sasa imepoteza mechi 4 kati ya michezo  nane tangu kuanza kwa lig hiyo msimu huu huku wakiwa alama 10 nyuma ya vinara Manchester City na alama 4 juu ya mstari wa kushuka daraja

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment