Shirikisho la soka nchini Tanzania Tff limietaka klabu ya soka ya yanga kuheshimu katiba ya klabu hiyo ili kuepukana na migogoro isiyokuwa ya lazima ndani ya yanga .
Kauli hiyo ya Tff imeelezwa jijini Dar es salaam kupitia afisa habari wake Baraka Kizuguto ambapo amesema mabingwa hao wa soka Tanzania bara wanatakiwa kuheshimu katiba ya klabu ya hiyo kwa kufanya uchaguzi wake kwa wakati ili kuepukana na migogoo isiyokuwa ya lazima,
Aidha kizuguto amesema kuwa mpaka ssa ni klabu mbili tu za azam na Mtibwa Sugar ya jijini mbeya ndio zenye leseni za kudumu ikiwa imetimiza vigezo kwa silia 95.
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment