Ligi ku soka tanzania bara inatarajia kuendelea siku ya kesho ikiwa ni hatua a pili ya ligi hiyo kwa jumla ya michezo 7 itakayofanyika katika viwanja mbalimbali hapa nchini.
Mabingwa wa soka tanzania bara kwa msimu uliopita Timu ya yanga itaumana na Dhidi ya Tanzania Prissons ya mbeya kwenye uwanja wa taifa uliopo jijini Dsm wakati timu ya Simba ya ikicheza dhidi ya Mgambo shooting katika uwanja wa Mkwakwani uliopo jijini tanga , huku Azam wenyewe ikicheza dhidi Stand United katika uwanja kamabarage.
Michezo mingine itakayofanyika siku ya jumatano timu ya Ndanda Itaumana dhidi ya Costal union , wakati Mbeya City ikicheza dhidi ya Jkt Ruvu katika uwanja wa sokoine, Toto African ya mwanza ikiikaribisha timu ya Mtinbwa Sugar,
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment