Mtangazaji maarufu nchini kupitia kituo cha clouds Fm radio Dj Fetty ameagwa rasmi na watangazaji wenzake aliokuwa akifanya nao kipindi kimoja akiwemo Adam Mchomvu maarufu kama baba jonii Bdozen pamoja na wafanyakazi wengine wa kampuni hiyo.
Kwa mujibu wa fetty amedai kuwa baada ya kuagwa rasmi katika kituo hiko maarufu nchini sasa atakuwa akijihusisha na biashara zake binafsi japo kuna fununu mtangazji huyo huenda akamia uhai Fm inayomilikwa na Azam ya jijini Dsm ambayo imeanza kurusha matangazo yake hivi karibuni
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment