Kundi maarufu la muziki kutoka nchini kenya limeandika ujumbe kupitia ukarasa wao wa twitter uliosema kuwa rais wa Marekani Barak Obama amebandika picha aliyopiga na wasanii hao wakati wakicheza wimbo wa "sura yako " alipowasili nchini kenya mapema mwaka huu.
Dream so come true. Apicture of us dancing with #POTUS has been placed in the#whitehouse in the west Wing Right near the oval office
Katika ujio huo wa rais obama nchini wasanii pekee waliopata nafasi ya kutumbuiza katika sherehe hiyo ni kundi hilo lenye mafanikio zaidi nchini humo.
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment