Mfuko wa taifa wa bima ya afya NHIF leo imesaini makubaliano na shirikisho la soka nchini TFF la udhamini wa ligi kuu ya VODACOM kuwa mdhamini rasmi wa bima ya afya kwa ligi kuu ya VODACOM 2015/16 kwa vilabu vyote kumi na sita vinavyoshiriki ligi hiyo.
Akiongea kwenye utiaji saini mkataba huo uliofanyika jijini dar es salaam mwakilishi wa kaimu mkurugenzi mkuu mfuko wa taifa wa bima ya afya ambae pia ni mkurugenzi wa utafiti na masoko wa NHIF Athman Rehani amesema ili uweze kupata huduma za mfuko huo ni lazima uchangie tayari mfuko kwa kushirikiana na TFF wameshaandaa utaratibu unaotakiwa.
Amesema wachezaji wote wa timu zote kumi na sita pamoja na benchi la ufundi watapatiwa kadi za bima ya afya zitakazodumu katika kipindi chote cha ligi kuu ingawa wanaangalia ni kwa namna gani wanaweza kuwafanya wanachama wa kudumu.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment