Mshambulaji wa real Madrid na timu ya taifa ya ureno Christiano Ronaldo Jana alitunikiwa kiatu cha dhahabu na klabu yake Real Madrid ishara ya kuwam,chjezaji aliyefunga magoli mengi katika klabu hiyo akivunja rekodi ya mchezaji wa zamani ya klabu hiyo Raul Gonzalenzi kwa kufikisha idadi ya 324.
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment