MANCHESTER UNITED YAMUACHIA EVANS


Klabu ya Manchester united imekubali kumuachia beki wake wa kati JONNY EVANS kuelekea kwa mabingwa zamani wa ligi kuu uingereza 1919/1920  West brom Albion kwa ada ya pauni milioni 6,

Evans ambae ni raia wa Ireland ya kaskazini amaeitumikia Manchester united kwa michezo 198 na kunyakuan mataji matatu ya #EPL ameelekea West brom mapema leo hii kukamilisha dili hilo

Beki huyo wa kati mwenye miaka 27 amelazimika kuondoka kwa mashetani wekundu wa jiji la  manchester kufuatia kutokua chaguo la kwanza kwa kocha wa manchester united mholanzi Luis Van Gaal.


Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment