Timu 16 mpira wa pete kwa upande wa wanawake zimethibitisha kushiriki michuano ya klabu bingwa taifa inayotarajia kuanza kurindima september 19 mwaka huu mkoani shinyanga.
Akizungumza na SANGUJ mwenyekiti wa chama cha mpira wa pete Tanzania (CHANETA) Anna Kibila amesema maandalizi ya michuano hiyo yanendelea vizuri na timu kutoka ya mbeya , shinyaga, Arusha Dodoma, Dar es salaam zimethibitisha kushiriki kwenye michuano hiyo
Aidha Kibila ametoa wito kwa serikali pamoja na wadau wa mchezo huo kujitokeza kusaidia mashindano hayo kwa kuwa yanakabiuliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ya udhamini.
0 maoni:
Post a Comment