Umoja wa bodabida kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania Umesema kuwa umnoja huo umeamua kukiunga mkono chama cha mapinduzi kufuatia chama hicho kutekeleza mahitaji ya bodaboda hao.
Wakizungumza kwenye makao makuu ya bodaboda wilaya ilala leo jijini Dar es salaam Bashiri Kashega ambae ni makamu mwenyekiti wa bodaboda ilala amesema licha kuajaribiwa kulubuniwa na baadhi ya viongozi wa siasa lakini kwa upande wao wameamua kukiunga mkono chama ambacho kimewatimizia mahitaji yao
Kwa upande wake mwenyekiti wa chama cha Bajaji mkoa wa Dsm Bw Adamu Yellu amesema kuwa licha ya kuwepo kwa changamoto mbalimbali zinazowakabili bodaboda hao lakini kupitia rais watanzania Jakaya Mrisho Kikwete na chama cha chake cha mapinduzi CCM kimewatengezea vijana wengi ajira kupitia kazi ya bodaboda

0 maoni:
Post a Comment