BLATTER AZIDI KUKABWA KOO NA FIFA.

 
Kamati ya maadili ya shirikish la mpira wa miguu Duniani  limetaka Rais wa Shirikisho hilo kusimamishwa kazi kwa siku tisini kutokana na kile alichokidai kuwa ni rais huyo kutia saini mikataba amba haikuwa na faida kwenye shirikisho hilo.
  
Wanachama wa kamati hiyo walikutana wiki hii baada ya Jaji mkuu nchini Uswizi kufungua mashtaka ya uhalifu dhidi ya Blatter mwezi uliopita.

Blatter anatuhumiwa kwa kutia saini kandarasi zisizo na manufaa yoyote kwa FIFA mbali na kufanya 'malipo' kwa rais wa shirikisho la UEFA Michel Platini.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo 
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment