SHERIA YA MITANDAO KUANZA RASMI KESHO

Wizara ya mawasilaiano, sayansi na teknolojia imetangaza rasmi kuanza kwa kutumika kwa sheria ya makosa ya mtandaoni na miamala ya kieletroniki ya mwaka 2015 iliyopitishwa na bunge la jamhuri ya muungano april mosi mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari waziri wa mawasiliano, sayansi na teknolojia prof Makame Mbarawa amesema kuwepo kwa sheria kwa hizo mbili kutakabiliana na makosa kwenye mtandao ambayo wengine huyafanya kwa kukusudia na kuleta athari kwa jamii ikiwemo kusambaza ujumbe wa matusi, picha za utupu, wizi.

Kwa mujibu Prof Mbarawa sheria hii imepokelewa tofafauti na wananchi, wengi wao wakiiona ni kitanzi kwao bila kuangalia faida zake kwa atayetendewa kinyume huku akifanunua kuwa itambatana yule atakayesambaza ujumbe ama picha mbaya huku atakayepokea pia atakuwa ni mmoja wa wahalifu.


Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment