Raia wa Nigeria leo wameandamana kuadhimisha siku mia tano tangu kutekwa nyara kwa wasichana wa shule ambapo kundi la wapiganaji la Boko Haram ndilo lililofanya utekaji huo.
Katika miji mikuu ya Lagos na Abuja, makundi ya wanaume, wanawake na watoto waliandamana wakiwa wamevalia mavazi mekundu, kama njia moja ya kuwakumbuka wasichana hao waliotekwa na Boko Haram.
Katika miji mikuu ya Lagos na Abuja, makundi ya wanaume, wanawake na watoto waliandamana wakiwa wamevalia mavazi mekundu, kama njia moja ya kuwakumbuka wasichana hao waliotekwa na Boko Haram.
Wasichana 219, walitekwa nyara na wanamgambo hao wakiwa shuleni huko Chibok Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo.
0 maoni:
Post a Comment