UPINZANI BURUNDI;HATUMJUI NKURUNZIZA KAMA NI RAIS




Nchini Burundi, upinzani unasema kwamba haumtambui Pierre Nkurunziza kama rais wa nchi hiyo tangu Agosti 26,  ambayo ilikuwa  ni siku ya mwisho ya muhula wake wa pili.

Wakati hayo yakijiri  hapo jana Rais Pierre Nkurunziza, aliwahutubia wananchi kwa mara ya kwanza tangu aapishwe kuchukua madaraka kwa muhula wa tatu, hotuba ambayo iligubikwa na suala la usalama.

Jumuiya ya kimataifa ina hofu ya kutokea kwa machafuko nchini Burundi wakati huu ambapo rais Nkurunzinza akiwa ameshaapishwa kushika maradaka kwa muhula wa tatu 

 Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment