TFF YAINGIA MKATABA WA BIL-3 NA AZAM MEDIA VILABU 64 KUSHIRIKI KOMBE LA fa cup




Akizungumza na wakati wa utiaii wa saini na kampuni ya Azam Media wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 3 rais wa shirikisho la soka Tanzania Jamal Malinzi amesema kuwa mkataba huo utakluwa miaka minne na utaleta fursa kwa timu za daraja la kwanza na la pili kuweza kushindana na timu za ligi kuu

Kwa upande wake Mkurugenzi mtendaji wa Azam media Rhys Torrington amesema lengo kuu la kudhamini mashindano hayo ni kuhakikisha soka la Tanzania linapiga hatua zaidi afrika.

michuano hiyo itahusisha timu 16 za ligi kuu,24 za daraja la kwanza, na timu 24 za daraja la pili ambapo bingwa wa michuano hiyo ataiwakilisha Tanzania katika michuano ya kombe la shirikisho la afrika mwaka 2017.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment