MAFUNZO YA MAKOCHA WA TANZANIA YAKAMILIKA,

 
Mafunzo ya walimu wa mpira wa miguu ya leseni ya daraja C yaliyoandaliwa na chma chasoka cha soka mkoa wa Dar s salaam ikishirikiana na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Tff yamefikia tamati leo kwenye Ofisi ndogo za shirikisho hilo ilala jijini dar es salaam.
 
Mafunzo hayo ambayo yalihusisha makocha 31 kutoka klabu za ligi kuu, ligi daraja la kwanza, pamoja na ligi daraja pili yamefikia tamati kwa mokocha hao kwa kupewa vyeti vyao ishara ya kukamilika kwa mafunzo hayo yaliyofanyika kwa mwezi mmoja.
 
Akizungumza wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo rais wa shirikisho la soka Tanzania Tff,  Jamal Malinzi amewataka makocha hao kuisambaza elimu hiyo kwa vijana wa mashuleni ili kuendana na mipango ya shirikisho hilo kukuza soka la vijana kwa manufaa ya timu ya taifa.
 
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo
 

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment