Chama cha mpira wa wavu mkoa wa Dar es salaam Dareva
kimetoa mafunzo kwa waamuzi watakaotumika kwenye michuano ya ligi kwa
mpira wa kikapu kwa mkoani a wa Dar es salaam maarufu kama beach
Volleyball itakayofanyika hapa jijini.
Akizungumzia
mafunzo M/kiti kamati ya ufundi Dareva Nassoro Sharifu amesema, licha
ya kuwepo kwa mwitikio hafifu kwa washiriki, lakini mafunzo hayo
yanalenmga kuwandaa waamuzi kulelekea michuano hiyo inayotarajia kuanza
September 26 kwa kushirikisha jumla ya timu 40 kwa upande wa wanawake na
wanaume.
Kwa upande wake mkufunzi wa
mafunzo hayo kutoka chama cha mpira wa wavu tanzania Tava Fredy
Mshangamaamesema kuwa mafunzo hayo yatahusika katika kutafsiri sheria
mbalimbali za mchezo huo ili kuondoa utata kwenye mashindano hayo.
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment