Mcheza ngumi maarufu nchin Thomas Mashari ametanga za kustaafu kwenye tasnia ya masumbwi kwa kile alichokidai bondia huyo ni kukosa upinzani kwa mabondia wa kitanzania.
Akizungumza na SANGUJ jijini Dar es salaam Mashari amesema kuwa amefikia maamuzi ya kupumzika na asijihusishe na mchezo wa ngumi nchini Tanzania kufuatia bondia huyo kuwapiga baadhi ya wacheza ngumi maarufu nchini akiwemo Karama Nyilawilla, Mada Maugo.
Amesema atakuwa nje ya tasnia ya masumbwi kwa takribani miaka miwili ili kuwapisha mabondia chipukizi nchini kupata nafasi ya kufika kimataifa kama ilivyokuwa kwa upande wake.
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment