Mcheza tenis nambari moja kwa ubora duniani Novak Djokovic amenyakua taji la michuano ya wazi ya marekani kwa kumshinda mpinzani wake Roger Federal kwenye fainali ya michuano hiyo iliyofanyika Newyork nchini marekani.
Mchezo huo ambao ulighubikwa na matatizo ya hali ya hewa kutokana na kuwepo kwa mvua kubwa ilimchukua muda mrefu mpaka kumuhakikishia Mserbia huyo taji lake la tatu la grand slam mwaka huu baada ya kunyakua michuano ya wazi ya Wembledon ,pamoja na ile austaralia.
Djokovic mwenye miaka 38 alimshinda Federal kwa 6-4 5-7 6-4 6-4 katika mchgezo ambao Novackj alianza vema kwenye seti ya kwanza lakini Mpinzani wake Federal alirejea kwenye seti ya pili kwa kumshida Novack lakini Mchezaji huyo alionesha ubra wake kwenye setui ya mbili za mwisho.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment