LOWASA; WATANZANIA MSIKUBALI KUUZA VIKATIO VYENU


Mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMAi) na kuungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa (UKAWA) Bw. Edward Lowassa, amewahimiza watanzania kutokubali kurubuniwa kuuza vitambulisho vyao kupigia kura, kwa kuwa hatua hiyo itaua mabadiliko chanya yanayokuja nchini.

Bw. Lowassa ameutoa wito huo mkoani Singida katika Majimbo ya Singida Magharibi, Singida Kaskazini, Iramba Mashariki na Iramba Magharibi, ambapo alipita kuomba kura na kuwanadi wagombea ubunge na madiwani katika majimbo hayo, na kuwasisitiza kutokubali kurubuniwa kuuza vitambulisho vya kura kwa kuwa watauza utu wao.

Mgombea urais huyo amewasisitiza wananchi kutambua kuwa mabadiliko ya kweli yataletwa na (UKAWA) kupitia sanduku la kura, na wao watahakikisha hakuna kura itakayoibiwa katika uchaguzi mkuu uja

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment