Siku chache baada ya wasanii wawili wa filamu tanzania Vincent Kigosi maaraufu kama "Ray " pamoja na Aunt Ezekiel waliokuwa wakimuunga moja ya wagombea urais kupitia Edward lowasa kutangaza kutoka katika chama hicho msanii mwenzao Jack Wolper ameandika ujumbe mzito unaowalrnga wasanii hao.
Kupitia ukarasa wake instagram wa Jack Wolper aliandika uliomaanisha ni bora uwe fisadi au mtu mwenye kujilimbikizia mali nyingi kuliko kuwa msaliti .
Baba wa Taifa Dady Ni bora kuwa Kaisali kuliko kuwa Yuda, #Mimi nitabaki Jacq Lowasa #mabadiliko2015
Vijembe hivo vya wolper vmezua taharuki nyingi kwa mashabiki wengi wa wasanii hao klufuatia kwenda sambamba na tukio la wasanii hao kujitoa kumsapoti mgombea Edward lowasa.wakati kwa m,ujibu baadhi yamashabiki wa wasanii hao walicoment kuwa wasanii hao wamenunuliwa ka kitita cha shilingi millioni 50
Lakini siku chache msanii Vincent Kigosi kupitia ukurasa instagram aliandika ujumbe uliosema kuwa atatoa tamko rasmi kuhusiana na msimamo wake licha ya kusikia taarifa nyingi kwenye mitandao ya kijamii.
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment