Kamati ya maadili ya shirikish la mpira wa miguu Duniani limetaka Rais wa Shirikisho hilo kusimamishwa kazi kwa siku tisini kutokana na kile alichokidai kuwa ni rais huyo kutia saini mikataba amba haikuwa na faida kwenye shirikisho hilo.
Wanachama wa kamati hiyo walikutana wiki hii baada ya Jaji mkuu
nchini Uswizi kufungua mashtaka ya uhalifu dhidi ya Blatter mwezi
uliopita.
Blatter anatuhumiwa kwa kutia saini kandarasi zisizo na
manufaa yoyote kwa FIFA mbali na kufanya 'malipo' kwa rais wa shirikisho
la UEFA Michel Platini.
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment