Timu ya soka ya Taifa ya Sudan Kusini jana ilishindwa kumaliza mechi yake dhidi ya Mauritania kufuatia mchezo huo kuchezwa kwa dakika kumina kuzuliwa na Mvua kali wakati mchezo huo matokeo ya kiwa goli 1-1
Licha
ya kuchezwa muda huo mfupi, Sudan Kusini bado walifanikiwa kupata la
kujivunia kwa kufunga bao lao la kwanza kabisa kinyang’anyiro cha Kombe
la Dunia.
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment