Mkali wa muziki wa bongo Fleva nchini na barani afrika Diamond Platinumz ameendelea kuwa msanii mwenye mafanikio zaidi tanzania baada ya kunyakua tuzo nyingine ya kimataifa .
Kupitia ukurasa wake wa instagram Diamond Platinumz aliandika ujumbe ulioashiriia kuwa shukuru waandaji wa tuzo hizo
I would love to say thank you to everybody who Voted for me on @africannafca
Awards...am so grateful, i wouldn't have Made it without you...here are
our Trophies....i will always make sure i work hard to make My Africa
Proud..also wanna Thank @africannafca for keep Supporting African talents....please, don't forget to Vote for me on @MtvEma awards through the link on my Bio ☝#FavouriteArtistOfTheYear #FavouriteSongOfTheYear
(Hata nikisema niwashkuru, maneno hayataweza kuelezea Shukran zangu
kwenu.... ila sikuzote ningependa mfahamu kuwa Nitaendelea kuhaso hadi
jasho langu la Mwisho, kuhakikisha Mziki wetu una acha kudhalauliwa na
Kuheshimiwa kama Miziki ya wengine...
-Msanii wa Mwaka Anaependwa -Nyimbo ya Mwaka Inayopendwa
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangaz
o
0 maoni:
Post a Comment