Mwana masumbwi mmoja raia wa ufilipino Carlo
Magali amepelekea bondia mwenzake raia wa Australia Davey Browne baada ya kumshushia kichapo cha nguvu cha knock out baada ya kupoteza fahamu kwa siku nne
Brown ambaye ni baba ya watoto wawili
alipelekwa katika chumba cha wagonjwa mahututi kabla ya mitambo
inayomsadia kuzimwa alipokosa kuimarika kiafya baada ya kupigania taji la la uzani
wa Feather siku ya Ijumaa.
Muungano wa wahudumu wa matibabu nchini Australia umetaka mchezo wa ndondi kupigwa marufuku nchini humo kufuatia kifo hicho.
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment