Klabu ya soka ya Arsenal jana ilipokea kichapo cha goli 2-1 kutoka kwa timu ya Dynamo Zagreb ya Croatia kufuatia washika bunduki hao kucheza wakiwa pungufu baada yamshasmbuliaji wake Olivier Giroud kuonyeshwa kadi nyekundu.
Alikuwa mchezaji Alexis Oxlade Chamberlain wa arsenal alieipatia Dynamo Zagreb goli la kwanza kwa njia ya kujifunga kwenye dakika dakika ya 24 kabla ya mchezaji wa Zagreb Junio Fernandes kuipatia timu yake goli la pili kwenye dakika ya 58 ya kipindi cha pili.
Arsenal wakicheza wachezaji kumi uwanjani walipata goli la kufutia machozi kupitia kwa mshambuliaji wake raia wa uingereza Theo walcot kwenye dakika ya 79 na kupelekea mpaka mwisho wa mchezo huo Zagreb wakitoka kifu mbel;e kwa 2-1.
Na mnchezaji Lionel Messi jana aliweka rekodi ya kuitumikia klabu yake kwa michezo mia moja kwenye michuano hiyo ya klabu bingwa barani ulaya, wakati timu yake Barcelona ikitoka sare ya Goli 1-1 dhidi ya Roma ya italia.
Alikuwa Mshambuliaji Luis Aliepatia Barcelona goli la ka kuongeza kwenye dakika ya 21 kabla yamchezajki wa Roma Alessandro Florenzi kuisawazishia Roma dakika kumi baadae nakupelekea mpaka mwisho wa mchezo huo kuwa sare ya goli 1-1
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment