Wakati rekodi raia mmoja wa uswizi akishikilia rekodi ya kupanda mlima kilimanjaro akitumia saa 6 na dakika 42 pamoja na mtanzania Saimon Mtuwi akitumia saa 9 dakika 19.
Mpanda milima maarufu nchini JULIO LUDAGO ametoa elimu ya matumizi ya sanaa katika kuendeleza sekta nyingine nchini hususani sekta ya utalii
Julio Ludago pia ameelezea azma yake ya kupanda mlima kilimanjaro ili kuvunja rekodi iliyowekwa na watalii mbalimbali kutoka nje ya nchi.
Akizungumza na waandishi habari Ludago amesema mlima kilimanjaro umekuwa na historia mbalimbali hapa nchini lakini kumbukumbu hizo zimekuwa zikiwekwa na watu ambao si
watanzania.

Kwa upande wao wadhamini wa safari ya kuelekea mlima kilimanjaro kampuni ya INTEL wamesema lengo la kudhamini safari hiyo kwa kijana julio ludago inalenga katika dhumuni lao
la kuhakikisha wanatimiza ndoto za vijana wengi wenye vipaji mbalimbali nchini
0 maoni:
Post a Comment