WACHORA KATUNI WAMETAKIWA KUWA MAKINI


Wachora vibonzo chini wametakiwa kutumia vipaji vyao kikamilifu hasa nyakati hizi za uchaguzi kwani, vibonzo vinauwezo mkubwa zaidi wa kufikisha ujumbe kwa njia nyepesi zaidi.

Aidha wachora vibonzo wameshauriwa kutumia maneno kidogo na kuacha watu wachambue na kutafakari juu ya michoro waliyochora.

Hayo yameelezwa wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya wiki mbili ya vibonzo yajulikanayo kwa jina la DOMOCRAZY, maonyesho yaliyohusisha wachoraji tisa wa hapa nchini na kuandaliwa na taasisi isiyo ya kiserikali ya VIPAJI GALLERY chini ya ufadhili wa kampuni ya sigara nchini TCC.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment