EBOLA YAIBUKA TENA SIERRA LIONE MMOJA ALIPOTIWA


Nchini Sierra Leone mtu mmoja zaidi ameripotiwa kufariki dunia kutokana na ugonjwa wa ebola taarifa inayotolewa wakati zaidi ya watu 1,000 wakiripotiwa kuwa wamewekwa kwenye karantini kutokana na hofu ya kusambaza virusi vya Ebola.

Kifo hicho cha pili kinakuja wakati nchi hiyo ikiwa katika maandalizi ya  kulitangaza taifa hilo kuwa huru kutokana na ugonjwa wa Ebola, baada ya awali kufanikiwa kuudhibiti.

Watu zaidi ya 11,000 wamefariki dunia tangu kuanza kwa mlipuko wa Ebola nchini Sierra Leone, Guinea na Liberia.Habari zinasema shirika la afya duniani - WHO na wizara ya afya ya Sierra Leone wanapanga kutoa chanjo kwa

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment