Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima ameibuka na kujibu tuhuma zilizoibuliwa na aliyekuwa katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo kuwa kuna baadhi viongozi wa dini wamehongwa fedha ili kumuunga mkono mgombea urais wa chadema kupitia Ukawa Edward Lowasa.
Akizungumza na waandishi wa habari pamoja na baadhi ya waumini wake walojitokeza kumsikiliza askofu huyo Gwajima amedai kuwa hayo yote yanayotokea sasa kwa katibu mkuu huyo wa zamani ni shinikizo kutoka kwa mkewe Josephine aliekuwa akihitaji Dr slaa kuwa mgombea urais kupitia chama hicho
Aidha akijibu swali la kutoka kwa mwaandishi wa habari liliuliza "je wamefanya mipango gani ya kumaliza tofauti zao baina ya maaskofu na Dr slaa" Gwajima amemuita "Dr Slaa ni shujaa aliyepotea" huku akisema jambo hilo lilishafanywa klabla hajatangaza nia yake kujiuzulu katika siasa
katika hatua nyingine Askofu Gwajima amesema Tuhuma za kuwa yeye ni mshenga sio za kweli kwani Dk.Slaa yeye alishiriki kikamilifu katika mchakato mzima wa kukaribisha Edward Lowasa katika chama cha demokrasia na maendeleo chadema.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment