Muingereza Andy Murray jana ilikua siku ya majozi kwa upande wake baada ya kutolewa nje ya michuano ya US opens baada ya kufungwa na Kevin Anderson.wa Afrika kusini kwa seti 7-6 (7-5) 6-3 6-7 (2-7) 7-6
(7-0).
Anderson alitumia saa nne na dakika 18 kumsambalitisha muingereza huyo ambae alikua akilitafuta kombe hilo kwa miaka 5.huku ikiwa ni mara ya kwanza kwa andy Murray tangu 2010 kutolewa nje ya michuano hiyo katika hatua ya robo yav fainali
Muafrika kusini huyo sasa ataumana na na Stan Wawrinka wa Switzland .katika hatua ya robo fainali baada ya Wawrinka. kumshinda mpinzani wake Donald Young raia wa marekani kwa seti. 6-4 ,1-6 ,6-3 ,6-4
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment