LUNGU LA FA LAMKOSA MORINHO, KESI YAKE NA EVA CARNEIRO

Chama soka nchini Uingereza FA kimekataa kumuadhibu kocha mkuu wa kklabu ya chelsea Josee Morinho kufuatia shiyaka lake la kutamkia lugha ya matusi kwa aliekuwa daktari wa timu hiyo Eva Carneiro.

Fa ilipitia mkanda wa video uliokuwa ukidaiwa kua  Morinho kumwambia Carneiro kuwa ni mtoto wa malaya na chama hicho kiligundua kuwa kocha huyo hakutumia lufha ya matusi kwa mganga wa kike.

Dokta Carneiro aliingia uwanjani kumtibu mshambuliaji Eden Hazard wakati wa dakika za lala salama kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Swansea, uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment