MAN UNITED, MAN CITY ZANYOOSHWA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA

 

Timu ya manchester united imeanza vibaya katika michuano ya klabu ya bingwa barani ulaya kufuatia timu hiyo kupokea kichapo cha goli 2-1 dhidi ya Psv ya nchini uholanzi katika mchezo wa raundi ya kwanza wa michuano hiyo.

United ndo iliyokuwa ya kwanza kupata goli kwenyebdakika ya 41 kupitia kwa winga wke Mephis Depay. lakini Psv Walirejesha goli hilo kupitia kwa mchezaji wake Héctor Moreno kabla ya kipindi cha kwanza kukamilika nakupekea mpaka wakati wa mapumziko timu hizo zikiwa sare ya goli 1-1.

Bao la Luciano Narsingh kwenye dakika ya 57 liliwezesha Psg kuibuka na ushindi kwenye uwanja wao wa nyumabani Philips Stadion.

Kwa upande wa wapinzani timu ya manchester City imepokea kichapo cha goli 2-1 dhidi ya dhidi ya kibibi kizee cha Torino Juventus kwenye dimba lao la Etihad.

City walipata goli lao kupitian kwa mchezaji wa juvenmtus Chellin kwenyeb dakika 57 wakati Juventus wenye we wakipata magoli yao kupitia kwa Mario Mandžukić kwenye dakika ya 70 na goli la pili likifungwq na  Álvaro Morata kwenye dakika ya 81.

Matokeo mengine ya michuano hiyo 
:Psg 2 – 0 Malmö FF
VfL Wolfsburg 1 – 0 CSKA
Benfica 2 – 0 FC Astana
Galatasaray 0 – 2 Atletico Madrid
Sevilla 3 – 0 Borussia Mönchengladb

 Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo
 
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment