Mcheza Masumbwi maarufu duniani Floyd Maywether amesema yeye anachokiangalia ni pesa bali si mtu anaepigana nae kuelekea pambano lake siku ya jumamosi dhidi ya Andre Berto.
Mayweather ameyasema hayo siku chache baada ya wadau wa mchezo wa ndondi duniani kusema bondia huyo amekataa kucheza na bondia Amir Khan na kumkimbilia bondia dhaifu Andre Berto aliepoteza michezo 3 kati ya michezo y6 ya mwisho hivi karibuni
Aidha Mayweather amewajibu kuwa hashangai hayo yote yametokana baada ya kumpiga bondia maarufu wa ufilipino Manny Pacquao
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment