MKWASA; RAIS KIKWETE NAKUOMBA UWANJANI STARS VS NIGERIA KESHO

Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete 
Kocha wa timu ya taifa tya taifa stars Charles Bornface Mkwasa amemtaka rais wa tanzania Dk Jakaya Mrisho kikwete miongoni mwa wapenzi wa soka watakaofika kuishabiki stars kwenye mtanange wa hapo kesho.

Akizungumza na waandsshi habari kocha chars amemtaka amemkumbusha rais huyo wa tanzania kufuatia kauli yake aliyoitoa siku hizi za karibuni akidai kuwa na mkosi pindi anapo hudhuria mechi ya timu hiyo.

Aidha kuhusiana na mtanange wa kesho Mkwasa amesema kuwa ana imani na timu yake itafanya vizuri  endapo wachezaji hao watafata yale aliowaelekeza


Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment