Timu mbalimbali za bara afrika mwishoni mwa juma hili zinatarajia kucheza michezo ya kufuzu kwa michuano ya kombe la matafifa ya africa Afcon yatakayofanyika 2017 nchini Gabon.
Kwa upande wa timu za Afrika mashariki zenyewe zinatarajia kupambana na na baadhi ya vigogo kutoka nchi za afriuka magharibiambapo timu ya Kenya itamenyana dhidi ya zambia rwanda ikicheza dhidi ya Ghana, wakati uganda wicheza dhidi ya Morocos huku tanzania ikicheza dhidi ya nigeria.
wakati huo huo timu ya Afrika kusini natarajia kuifata timu ya Mauritania katika dimba la Stade Olympique de Nouakchott huku timu ya msumbiji inayotokea kusini mwa afrika ikicheza dhidi ya mauritus .
Vigogo wengine wanaotarajia kutupa karata yao hapo juma hili timu ya Misri itacheza dhidi ya Chad wakati Gambia ikicheza dhidi ya Cameroon huku Senegal ikifata timu ya taifa ya Namibia.
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph
0 maoni:
Post a Comment