SARA K, WA KENYA KUSHIRIKI TAMASHA LA AMANI TANZANIA #OCTOBER4


Msanii maarufu wa nyimbo za injili wa nchini kenya Sarah K na waimbaji wengine wanchini Tz wametajwa kuungana na waimbani wenzao katika tamasha la Kuombea amani litakalofanyika Oktoba 4 mwaka huu katika uwanja wa Taifa.

Mwenyekiti wa tamasha hilo ,ALEX MSAMA,ameiambia SANGUJ jijini Dar Es Salaam,kuwa ,tayari mazungumzo na waimbaji wengine kutoka Afrika Kusini,Uingereza ba kundi moja toka nchini Rwanda yanaendelea na matumaini ni makubwa kujumuika na Waimbaji wengine katika siku hiyo muhimu

ALEX MSAMA,amesema,Boniface Mwaitege,Solomini Mukubwa,Upendo wawili Nkone na Kilahiro pia ni miongoni mwa watakaotumbuiza pamoja na kwaya ya kanisa la mtakatifu Andrew ya Dodoma.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment