Mcheza tennis nambari nane kwa ubora duniani Rafael Nadal ametupwa nje ya michuano ya ya US open inayoendelea nchini marekani baada ya kupokea kichapo cha seti tatu kwa mbili dhidi ya mpinzani wake Fabio Forgin .
Nadal ambae ni bingwa mara 14 wa michuano mikubwa duniani maarufu kama aGrand slam pia bingwa mara mbili wa michuano hiyo ya Us opens alitolewa nishai kwa seti 3-6 4-6 6-4 6-3 6-4.
Kwa ushindi huo dhidi ya Rafael Nadal, fabio sasa ataumana na mhispania mwingine Feliciano lopez katika hatua ya nne ya michuano hiyo inayoendelea nchini Marekani.
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph
0 maoni:
Post a Comment