Kampuni ya vinga'muzi ya star times imezindua huduma yake mpya itakayokuwa ikionyesha michezo mbalimbali ikiwemo ligi za barani ulaya kupitia chaneli maalum kwenye kingamuzi hicho.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo Raisi wa Startimes Tanzania zuhura Hanif amesema kuwa huduma hiyo itakayopatikana kwenye vifurushi vya Mambo na Uhuru inalenga kutoa burudani kwa wateja wake hapa nchini.
Aidha Hanif amesema kupitia kingamuzi hicho cha startimes wateja wake watashuhdudia michezo mingine ikiwemo Raga, Riadha, Masumbwi, pamoja na ligi kuu soka ya italia na ligi kuu soka ya ujerumani kupitia chanel zake mpya za Sports Life, na World Football.
Kwa upande wake meneja uhusiano wa umma wa star times Muddy Kimweri amesema kuwa wateja wa kampuni hiyo watapaswa kulipia kiasi cha shilingi 5000 pamoja na shilingi 15000 ili kupata huduma hiyo mpya.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment