TBF YAANDAA MAFUNZO KWA WACHEZAJI, WALIMU, NA WAAMUZI WA BASJETBALL NCHINI


Chama cha mpira wa kikapu Tnazania Tbf kimesema  kimeandaa semina kwa ajili ya kuwafunza waamzi walimu, wachezaji wa mchezo huo yenye lengo la kuinua kiwango cha mchezo kikapu nchini

Akizungumza na SANGUJ katibu mkuu wa chama mpira wa kikapu Tanzania Tbf Salehe Zonga amesema kuwa mafunzo hayo yatatolewa na mkufunzi kutoka nchini marekani Matthew McCollister atakaewasili nchini september 16 mwaka huu

Aidha Zonga amesema kuwa kupitia mafunzo hayo kutoka kwa mkufunzi huyo anayetambulika na shirikisho la mpira wa kikapu duniani FIBA litaisaidia tanzania yatatumikia kama chachu kuelekea kwenye mashinadno ya klabi bingwa taifa yanatarajia kuanza hivi karibuni.


Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment