BONDIA WA TANZANIA APIGWA KO NCHINI CONGO #ALLAFRICAGAME

Timu ya taifa ya Tanzania kwa mchezo wa ngumi imefanya vibaya kwenye michuano ya kwenye michuano ya All afrika game inayoendelea nchini congobrazaville.
 
Kupitia mchezo huo Tanzania iliwakilishwa na wapiganaji watatu wakiwemo Ismail Galiatano alietolewa nje ya michuano hiyo baada ya kunyukwa kwa pointi na bondia wa Algeria wa pili alikuwa Saidi Hofu ambae alipigwa kwa KO katika raundi ya kwanza na bondia klutoka ghana. wav tatu akicheza leo hidi ya bondia kutoka Congo

Akizungumza na SANGUJ katibu mkuu wa shirikisho la ngumi Tanzania amesema kuwa kufanya vibaya kwa mabondia wa kitanzania kwenye michuano hiyo imetokana na kuwepo kwa maandlizi hafifu kwa wachezaji hao pamoja na kuwa na idadi ya wachezaji wachache kwenye michuano hiyo.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo



Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment