Wakati ligi kuu ikitarajiwa kuanza mwishoni mwa hii shirikisho la soka Tanzania limeingia makubaliano ya utoaji wa huduma ya matibabu na mfuko wa bima ya afya NHIF kwa ajili ya tmu 16 zinashiriki ligi kuu soka Tanzania bara msimu huu.
Akizungumza na waandishi habari jijini dar es salaam katibu mkuu wa shirikisho la soka tanzania Sellestine Mwesigw amesema kuwa makubaaliano hayo yatawapa nafasi wachezaji wanaocheza ligi kuu kuwa na uhakika awa kupata matibabu pindi wanapokuwa wanapoaptwa na majeraha ya mda mrefu.
Akizungumza kwa niaba ya vilabu vinavoshiriki ligi kuu Mkurugenzi wa bodi ya ligi Borniface Wambura amesemakuwa uwepo wa huduma ya matibabu ya uhakika kwa wachezaji kutongeza ushindani miongoni mwa timu zinazoshiriki ligin hiyo.
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment