DIAMOND MSANII MAARUFU AFRIKA KULIKO P-square, 2-Face, D-banji (PICHA)


Mkali wa muziki Tanzania na afrika Diamond Platinumz amekuwa kati ya wasanii watatu maarufu zaidi afrika baada ya kufikisha idadi ya wafuasi millioni moja kwenye ukarasa wa istagram ikiwa sawa na wakali wa nigeria Wiz kid pamoja na Davido

Diamond ambae amekuwa katika mafanikio mengi mwaka huu baada ya kunyakua tuzo ya mtumbuizaji bora afrika katika tuzo za Mtv Base afrika kusini amekuwa miongoni mwa msanii  maarufu afrika katika mtandao instagram kwa kuwapita baadhi ya wakongwe wa muziki afrika wakiwemo  P-square ,D-banji, mr flavour, na wengine wengi afrika.

Itakumbukwa mwezi august mwaka huu diamond aliweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza afrika kuwa na mtoto mwenye wafuasi wengi kwenye mtandao wa istagram  



Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment