Wakati ligi kuu soka Tanzania bara ikitarajia kuanza
kurindima mwishoni mwa juma hili mkurugenzi wa bodi ya ligi Borniface
wambura amesema bodi
hiyo imeshathibitiha waamuzi 20 wa kati pamoja na wengine 35 wasaidizi
watakaochezesha mechi 240 msimu huu ambao wamepatiwa mafunzo
maalumu
Akizungumza na SANGUJ wambura amesema kuwa bodi hiyo imeamua kufanya hivo ili kuepukana na malamiko ya kuhongwa kwa waamuzi pamoja na kuepukana na tuhuma ya kupanga matokeo kama ya msimu uliopita
Aidha Wambura amesema kuwa tayari bodi hiyo imeridhishwa na marekebisho ya viwanja 28 ikiwemo 11 kwa ligi kuu bara vingine 17 kwa ajili ya ligi daraja la kwanza na daraja la pili
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment